OFFER! OFFER! π£ Pendeza na Adidas Suede!
Habari njema kwa wapenda pamba kali! Tumeshusha mzigo mpya wa Adidas Suede kwa ajili yako. Kiatu kimetulia, rangi imenyooka, na size zote kuanzia 40, 41, 42, 43, 44 hadi 45 zipo hewani.
πββοΈ Wahi mapema! Mzigo ni mchache na unawahi kuisha.
π DM au Piga [0756293431] kufanya booking.
No reviews yet
Be the first to review this product