Chimbo la Vipodozi
PORTIA BODY OIL
Tsh 30,000
Quantity
Seller
Diana Kilale
WhatsApp
Chat with seller
✨ Portia Body Oil
Ni mafuta mazuri kwa kulainisha na kulisha ngozi kwa kina.
✔️ Husaidia kuongeza unyevu na kufanya ngozi iwe soft & smooth
✔️ Hupunguza ukavu na kufanya ngozi ing’ae kwa afya
✔️ Husaidia kuboresha muonekano wa ngozi na kuipa mng’aro wa asili
✔️ Inafaa kwa matumizi ya kila siku, hata baada ya kuoga
💧 Ngozi yako itabaki laini, yenye kung’aa na yenye kuvutia muda wote.
No reviews yet
Be the first to review this product