Unatafuta raba zinazochanganya muonekano mkali na faraja ya hali ya juu? Air Max mpya zimetua rasmi! Ni chaguo namba moja kwa watu wanaojua thamani ya mguu.
Size Zinazopatikana: 39, 40, 41, 42, 43, 44, mpaka 45.
Ubora: Imara, nyepesi, na zinadumu muda mrefu.
Haiba: Inafaa kwa mtoko wa weekend, mazoezi, au pamba ya kijanja mjini.
🚀 Wahi sasa! Stock ni chache.
📞 Mcheki [0756293431] kupata jozi yako leo!
No reviews yet
Be the first to review this product